High Perspective Education Center ilianzisha mnamo tarehe 12/1/2012 iliyopo Makadara Stown Town ina walimu wa kutosha wenye kubobea katika fani ya elimu na wenye kujali na kuthamin tamaduni na mila za kielimu katka kufundisha inapenda kuwatangazia wazazi, walezi na wadau wote wa elimu kuwa imefungua kozi maalum kwa watoto na watu wazima
Kozi zinazo tolewa ni kama zifuatazo
- ENGLISH & MATHEMATIC COURSE FOR NURSERY
- ENGLISH & MATHEMATICS COURSE FOR PRIMARY
- ENGLISH COURSE FOR ADULT.
VILE VILE KITUO KINASOMESHA MASOMO YA SKULI KWA NGAZI YA FORM 2 &
FORM 4. WAHI MAPEMA NAFASI NI CHACHE
AU WASILIANA NASI KWA SIMU NO
O773809892 & 0772778034 & 0719723143

No comments:
Post a Comment